Sikilizeni, ninyi si ndiyo wataalam!

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
960
1,678
Sancho peke yake ka win penati 10 huko Bundesliga hadi sasa idadi kubwa kuliko mchezaji yoyote kwenye ligi 5 kubwa barani Ulaya.

Manchester United tumetunukiwa penati 14 msimu huu EPL, pia hiyo ni idadi kubwa zaidi kuliko timu yoyote kwenye ligi 5 bora barani Ulaya.

Sancho anakuja chamani (Manchester united)
Msimu ujao tunamatarajio ya ongezeko kubwa la takwimu za penati, tunahitaji penati zaidi ya 30 kwa msimu tuvunje rekodi.

Penati ni sehemu ya mchezo wa mpira pia ni sehemu ya mbinu kama plan A inafeli una swich plan B vile vile penati inaweza kua plan A pia.

Wanakwambia alie feli kwa kupata zero bila kujitetea na alie fauku kwa kupiga chabo bora alie piga chabo, eeh ndio ukweli! Iko wazi iba usikamatwe!

Na kinginine hakuna idadi ya mwisho ya penati yani hata ukizipata 10 au 100 utapewa mana ni moja ya sheria za soka FIFA wana akili kukiko wachambuzi wachonga mdomo huko kwalulenge.

Nasisi kama Manchester united chini ya utawala wa nabii Bruno tunaahidi kuendelea na mfumo wetu msimu ujao tena tukiwa na maboresho zaidi hasa ongezeko la Jadon Sancho kule mbele.

Sijawahi kumshauri mtu ashabikie timu yenye David Luiz ambae ana mafuzo spesho ya kugawa penati! badala ya kusapoti timu yenye nabii Bruno na matakatifu Martial wenye mafunzo special ya kuwin na kupiga penanti kwa mtindo wa kupaa angani.

Huko mazoenzi wakati Sir Ole gunner anafundisha wachezaji jinsi ya kuwin penati huku Arteta anafundisha kina Luis jinsi ya kuumiza wenzake na kusababisha penati.

Msimu huu David Luis amasababisha penati 5 pekeake idadi kubwa zaidi kwenye historia tangu kuanzishwa kwa EPL

Kimsingi FIFA hawakutengeneza sheria ya penati kwa ajiri ya Manchester united pekeake ,kila timu inaweza kuwin penati idadi yoyote ile .

Kama mnaona sisi tunafaidi na nyie muwe mnajiangusha kwenye 18, ila sasa mtafika huko kwenye 18 kwenyewe.

Niishie tu kusema 2020-2021 mnipe tuu kombe langu tuendelee na 2021-2022 ili kuokoa muda kimsingi "SISI NDIO WATAAALAMU"
IMG-20200727-WA0309.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom