DJ Nasmile ni DJ na mchanganyaji wa muziki anayebobea katika aina mbalimbali kama Bongo Flava, Amapiano, Afrobeat na muziki wa kimataifa. Anajulikana kwa seti zake zenye nguvu na uwezo wa kuwasha burudani kwenye vilabu, matamasha na matukio mbalimbali. Ni miongoni mwa ma-DJ wanaochipukia wenye ubunifu na ari kubwa katika tasnia ya muziki.