Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Okay nitamwambia asante kwa taarifaMm nliuliza mtu anafanya voda , akasema hao ni voda wamegawa tenda kwa kampuni binafsi inahusika na kukusanya madeni yote. Wanaweza mpk kupiga simu kwa number binafsi!
Mwambie alipe tu .
Halafu hawakupi exactly kiasi unadaiwa shillingi ngapi hadi kero leo imebaki hiki kiasi kesho hikiHao mgodi nilikuwa nalipa deni lao hawarespond Wanachangamoto pia nahisi mikataba Yao na voda haiko sawa
Nyie mpo nyuma sana kimaendeleo .Daah tatizo umeandika haraka sana embu edit post yako nimesoma mara mbili mbili nimeshindwa kuielewa
Wana bet tu mchumba sidhani kama wanajuaNyie mpo nyuma sana kimaendeleo .
Mgodi ni kama songesha ila ile unakopa kuanzia laki moja hadi ml kama ni mwaminifu marejesho kwa wakati sasa matapeli wengi wa mitandao wanatumia namba za voda tu na wanajuaje kama wewe unahela m-mpesa hado wakutumie umeshinda??
Huu uandishi wa wapi??[emoji1784]Majuzi rafiki yangu alikopa pesa huko sijui mgodi sasa alipoanza kudaiwa ni mesage ya Mgodi ila siku ingine ni namba kama namba.
Sasa kajuaje anadaiwa na huku ni kitu cha siri. Hata ukiwa na hela kwenye account unaanza kupigiwa na simu za ajabu ajabu.
Naonelea wazo tu. Je, kama ni watu wanaofanya kazi Vodacom ndio wanawasaidia hawa watu washinda mamillioni kisa account inasoma.
Hamshangai Airtel hakuna, tigo hakuna, namba nyingi ni za voda za hao matapeli.
Sijui kwanini.
Ili limenishangaza mimi!