papai kumbe liko poa. ngoja nifanye hata leo kwanza nile nikikumbuka matesoπ€£π€£π€£π€£ mkuu itakua mlikua mnakula sana mtama au uwele.
Hzo vitu ni kwere kweche kama hauko makini. Next time tafuta papai hata 2 zilizoiva vzur af kula zote chap kwa fasta.
Lisaaa limoja baadae utakata nyengo ya kutosha mpka jasho jembamba la shukrani litoke.
hahahahahaahaah hatari sanaUnakula ugali wa Muhogo au ugali wa Mtama alafu haunywi maji, siku ukienda kuyatoa ndio unaelewa kwanini hua wanakulaga na mlenda na kombe la maji linawekwa karibu ukipiga tonge unasindikiza na glass ya maji kuweka ustaarabu sawa usije baadae ukalia peke ako huku jicho limekutoka ukiwa maliwatoni maana jicho hua linatoka lote nje kila ukisukuma wapi kitu hakitokiiii
Ukawa unachekelea jagi la uji tuh?mkuu acha kabisaaa si nilijua ni mazingira tu
mkuu ndo huo huooo nilikuwa nakulaa