Sikia hii kali kwelikweli

Sikia hii kali kwelikweli

mbupupu

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
90
Reaction score
11
katika mkoa wetu kuna kijana katumia mbinu mmbadala ya kujipatia kipato.Alitangaza kuwa kuna ngulue(kitimoto) kazaa mbwa kiingilio kwenda kumuona huyo mnyama ni sh.100 kwa watoto hadi 500 kwa wakubwa ss kumbe nitofauti alichokifanya yeye kachukua watoto wa mbwa wdogo na kwenda kuwachanganya na watoto wa ngulue wanavonyonya hunyonya pamoja ukienda pale anakwambia si unaona mwenyewe anavyonyonyesha na watu walijaa kwelikweli. Na hela alizozipa kaanzisha biashara yake ni chinga sasa.VIJANA NI UBUNIFU BWANA sio mbaka uibe
 
Huyo mbona habari zake tunazo!
Ni mtoto wa Babu wa Loliondo! Ni mbinu mpya za Babu, baada ya ile ya kwanza kufanikiwa na then kuekspaya!
 
Kwa hiyo huyo kwenu .ni bonge la mbunifu....hongereni!
 
Back
Top Bottom