Sijui waliishia wapi hawa

...hawakuchukua raundi huyo mdudu akawadaka,movi imeshatoka tayari teh teh...
 
Teh,teh,teh yaani hawa jamaa,yaani dish,na kamera ni bora kuliko maisha???kwa nini wasitupe hivyo vifaa na kuokoa maisha na wakipata msaada wa jamii walioko wavirudie??kazi kweli kweli.
 
laiti wangekuwa na ushirikiano, huyo mnyama angewakimbia badala ya wao kumkimbia.
 
Hawa jamaa waoga sana, ingekua huku kwetu tunawacharaza fimbo hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…