lol unanikumbusha nilikuwa ninaangalia kipindi cha documentary fulan ktk Discovery Channel za kugongana kwa ndege
we usiombee hiyo kitu ikukute mbona utakufa kabla ya ajari yenyewe..
kuna ndege zilisha wahi kuumana usokwa uso moja ilikuwa inatoka India na nyingine ilikuwa inatoka Kazhakstani
wewe zilipokutana kila moja ilibakia kipande nusu ..usiombee