julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
mkuu sikujua kua mapenzi ni kuamua mimi nilijua ni feeling juu ya mtu! kumbe ni kuamua kuuforce mwili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!we HUPENDI zaidi huwa unafuata mihemko/misisimko ya kihisia, tena hapa waonekana kutumia zaidi milango mitano ya fahamu pasipo ushiriki wa UBONGO yaani kwa lugha nyepesi umetafsiri tamaa kuwa mapenzi. Lakini siku ukiamua KUPENDA nadhani ndo utakuwa mwisho wa tatizo lako mkuu. Kumbuka mapenzi/mahusiano sio hisia ni KUAMUA.
mkuu sikujua kua mapenzi ni kuamua mimi nilijua ni feeling juu ya mtu! kumbe ni kuamua kuuforce mwili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
^^
Hujampata wa KUMPENDA hao unawatumia tu kukidhi tamaa za mwili. Waliowahi kupenda, wanajua nasema nini.
^^
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi nikisha mtafuna tu na penzi juu yake hunitoka! Nafanyaje jamani?
Aaa mwalimu upo? za siku nyingi mama?Hizo story zako!!!!!
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi nikisha mtafuna tu na penzi juu yake hunitoka! Nafanyaje jamani?
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi nikisha mtafuna tu na penzi juu yake hunitoka! Nafanyaje jamani?
kama mimi aisee!Tatizo hata mimi ninalo yani nikishamgegeda binti namuona sijui yupoje simu simpigii sms sijibu! ila nikihitaji kugegeda tu ndo naanza kumtumia sms na kumpigia simu ili nimgegede tena
so what should i do?Infatuation is not the same as true love..hapo unakuwa unajisikia unampenda mtu balaa...haswa mwanzoni lakini baada ya muda zile hisia zinapungua and the difference from true love mnaanaza kupendana taratibu then mnapanda ngazi kwenda juu "STEP BY STEP"