Sijui ntatibuje tattizo hili?

Sijui ntatibuje tattizo hili?

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi nikisha mtafuna tu na penzi juu yake hunitoka! Nafanyaje jamani?
 
baki njia kuu michepuko ni hatari.sidhani kama wote unaowafanyia hivyo wanafurahishwa na hicho kitendo.tafuta mmoja ambae utadumu nae..huko ni kujiendekeza tu..haujaamua kufanya kitu kwaufasaha.ukiamua kutulia utaweza na ukiamua kutangatanga pia utaweza.amua sasa kabla hawajaamua juu yako...
 
we HUPENDI zaidi huwa unafuata mihemko/misisimko ya kihisia, tena hapa waonekana kutumia zaidi milango mitano ya fahamu pasipo ushiriki wa UBONGO yaani kwa lugha nyepesi umetafsiri tamaa kuwa mapenzi. Lakini siku ukiamua KUPENDA nadhani ndo utakuwa mwisho wa tatizo lako mkuu. Kumbuka mapenzi/mahusiano sio hisia ni KUAMUA.
 
mkuu sikujua kua mapenzi ni kuamua mimi nilijua ni feeling juu ya mtu! kumbe ni kuamua kuuforce mwili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ndo hivyo mkuu, ''FEELINGS LACK THE QUALITY OF BEING STABLE" hivyo ni dhahiri kabisa kama mambo yalokuvuta kwa mtu husika yakipotea ghafla hata penzi hufa ghafla au kufifia, kwa kutumia milango mitano ya fahamu naweza vutiwa na umbile, sauti, harufu, mwendo au mtindo wa maisha ya mwanamke lakini kuvutiwa huku hakuitwi kupenda, kwani kupenda ni kupenda (upendo) ni maamuzi, ukifanikiwa katika kuamua utampenda mtu kabla hajakuvulia nguo na baada ya kukuvulia nguo, akiwa kamili mwilini au hata siku mwili wake ukipungua kitu, akiwa na furaha au hata siku akipatwa na huzuni, utampenda akiwa wako au hata siku akipotea mikononi mwako bado utampenda tu, na kupenda ni 100% hakunaga ile ya kiswahili eti nampenda fulani lakini....ukiamua kupenda neno lakini halina nafasi, ni kwamba aidha unapenda au hupendi kwani neno lakini halileti utoshelevu wa hizo 100%...
 
Utamaliza mabucha nyama ile ilee
 
^^
Hujampata wa KUMPENDA hao unawatumia tu kukidhi tamaa za mwili. Waliowahi kupenda, wanajua nasema nini.
^^

kweli kabisa hajapata kupenda. Ipo siku atapenda hata chakula hakitalika
 
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi nikisha mtafuna tu na penzi juu yake hunitoka! Nafanyaje jamani?

mjaze mimba mmoja.. hakika utatulia nae!!

achana na matumizi ya kondom ili uweze kuchapa hiyo mimba!
 
Tatizo hata mimi ninalo yani nikishamgegeda binti namuona sijui yupoje simu simpigii sms sijibu! ila nikihitaji kugegeda tu ndo naanza kumtumia sms na kumpigia simu ili nimgegede tena
 
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi nikisha mtafuna tu na penzi juu yake hunitoka! Nafanyaje jamani?

Huu ni ugonjwa au tamaa tu? Niwazi bado haujapenda.
 
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi nikisha mtafuna tu na penzi juu yake hunitoka! Nafanyaje jamani?

Anza kula tigo hakika hautakinai...papuchi inakinaisha,thats why unawaacha ila ukiwa unakula kabang,huwezi kuwaacha...take it from me!
 
Tatizo hata mimi ninalo yani nikishamgegeda binti namuona sijui yupoje simu simpigii sms sijibu! ila nikihitaji kugegeda tu ndo naanza kumtumia sms na kumpigia simu ili nimgegede tena
kama mimi aisee!
 
Hata mimi matatizo hayo nilikuwa nayo mkuu. Lakini nilivyokuja kunasa daah we acha tu. Endele tu kuwababua lakini kuna siku utampata wa kumpenda achana na mambo ya kuulazimisha moyo usipopenda
 
Infatuation is not the same as true love..hapo unakuwa unajisikia unampenda mtu balaa...haswa mwanzoni lakini baada ya muda zile hisia zinapungua and the difference from true love mnaanaza kupendana taratibu then mnapanda ngazi kwenda juu "STEP BY STEP"
 
so what should i do?
 
Back
Top Bottom