Sijui Nina matatizo au nipo sawa

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,856
Linapokuja suala la mapenzi haijalishi mwanamke ana uzuri kiasi gani nikimtongoza akianza kuniringia ringia naaghairisha kuendelea kumfutilia

Nawaza mtu ambae atatoka kwao au kwake kwa pesa yangu aje ale kwa pesa yangu nilipie chumba pesa yangu nimfanye tena aenjoy kwa nguvu zangu tena namla kwa condoms alafu napata wapi ujasiri wa kumbembeleza akianza ingia toka zake

Nishapanga na mmoja pisi kweli kwamba anakuja na nikawa nimetenga kama 100 ya kutumia nae akazingua ckumtafta teena 100 yangu nikaanza kuigawa kwa ndugu zangu shukrani nilizopata mpaka leo zimenipa kibri. Siwezi kumbembeleza mtu aje ale pesa zangu ninazotafta kwa mbide Bora awe mnyenyekevu nyodo za nini wanaume amkeni nyie
 
Wanawake walivyojaa badoo na tinder bado tuu mzeya unatongoza...wee ni kuweka hela kwenye meza unakata warembo wako wawili unawaita kwenye mjengo mnakula raha bila ata kubughudhiana.
 
Ilinitokea hiyo, nilimpanga mtoto mmoja aje nipunguze uzito kimtandao alikubali ila tena akaanza kuzingua akajifanya yuko busy nikamwambia haina shida...

Siku 2 mbele nikaona SMS ya MAMA Yangu anaomba PESA kakwama nikasema heri hela yangu imepata pa kwenda nikatuma zaidi karibu mara 3 ya kiasi alichoniomba..

......Baada ya siku kadhaa mbele nikapata PESA mara 4 ya nilichotoa kuumpa MAMA. Nikaona heri hata nmepata baraka za mzazi siwezi jua nmeepushwa na nini kwa yule mchuchu..

Hongera mkuu kwa kujua matumizi sahihi ya MUDA na PESA.
 
Linapokuja suala la mapenzi haijalishi mwanamke ana uzuri kiasi gani nikimtongoza akianza kuniringia ringia naaghairisha kuendelea kumfutilia

Nawaza mtu ambae atatoka kwao au kwake kwa pesa yangu aje ale kwa pesa yangu nilipie chumba pesa yangu nimfanye tena aenjoy kwa nguvu zangu tena namla kwa condoms alafu napata wapi ujasiri wa kumbembeleza akianza ingia toka zake

Nishapanga na mmoja pisi kweli kwamba anakuja na nikawa nimetenga kama 100 ya kutumia nae akazingua ckumtafta teena 100 yangu nikaanza kuigawa kwa ndugu zangu shukrani nilizopata mpaka leo zimenipa kibri. Siwezi kumbembeleza mtu aje ale pesa zangu ninazotafta kwa mbide Bora awe mnyenyekevu nyodo za nini wanaume amkeni nyie
Unahonga 100 harafu unategemea demu aje.
Ila haupo serious na kuhonga wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom