Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
Usisahau kuwa si wapya.. unless otherwise hayo uliyoyasema yawe yameanza sasa wakati anaandika uzi huu1. Haunuki mdomo/pumzi???
2. Wengine ili walale kwa starehe sana mikao yao sio lazima mtazamane
3 we we msafi?au unanuka kama beberu....au hauogi unanata kama umepaka gundi????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hakujibu basi ana lake jambo. Mpotezee endelea na mambo mengine kama kawaida atajiona mjinga atajirudiNdo maana namuliza Kama kuna mahali nimemkosea aseme nijue. Ili nimwombe msamaha. Maana mambo Mengine unafanya bila kujua unakosea
Ni miezi minne sasa wife kitandani tunapishana sana. Yaani hataki tulale kwa kutazamana. Ukimwomba mtazamane mkali Kama mbogo! Najaribu kumuliza Kama nimemkosea, hajibu. Hii hali mpaka inapelekea niwaze kuchepuka! Sijui nimekosea wapi!au ameanza kuchepuka ko hana hisia na mimi!?!?
Ukafanyaje? Maana mimi nadhani uchafu ndiyo kitu nachokichukia kuliko vyote.Hivi hiyo ya kunuka pumzi ina dawa? Niliwa kuwa na mwanamke ananuka pumzi ilikuwa shida.. Mbaya zaidi akawa anapenda sana denda,
Mtoa mada inabidi ajitathmin!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sielewi hii kulala kwa kutazamana ili iweje! Au ndiyo furaha yako?Nashukuru kwa mawazo. Kwanza wife pua haifanyikazi. Hata ungejamba no shida.miaka yote tumelala kwa kutizamana. Hii imekuja ghafla ndo maana inanipa shida
Wewe na mmeo hamtazamani?Kweli ndoa ngumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asa mlale kwa kutazamana ili iweje asee?
Sina mumeWewe na mmeo hamtazamani?
Vp mgegedo anatoa au nawenyewe anabana?Ndo namuliza Kama nimemkwaza aseme, hasemi. Bora mtu aseme. Utajua weakness yako iko wapi.
Anabana mkuuInabd utafute njia nzuri ya kumuuliza.. Vp mgegedo anatoa au nawenyewe anabana?
Oouh...nikajua unae.Sina mume