Lwamadovela
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 324
- 235
Hahahhaha daah.. ni kweli lazima atamtazama tuJiwekee elfu kumikumi usoni afu uone hatakutazama au vp..
yess BiShoo haswaaAaa
Ni miezi minne sasa wife kitandani tunapishana sana. Yaani hataki tulale kwa kutazamana. Ukimwomba mtazamane mkali Kama mbogo! Najaribu kumuliza Kama nimemkosea, hajibu. Hii hali mpaka inapelekea niwaze kuchepuka! Sijui nimekosea wapi!au ameanza kuchepuka ko hana hisia na mimi!?!?
1. Haunuki mdomo/pumzi???
2. Wengine ili walale kwa starehe sana mikao yao sio lazima mtazamane
3 we we msafi?au unanuka kama beberu....au hauogi unanata kama umepaka gundi????
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuudhi halafu unajifanya hujali, huombi msamaha.Ni miezi minne sasa wife kitandani tunapishana sana. Yaani hataki tulale kwa kutazamana. Ukimwomba mtazamane mkali Kama mbogo! Najaribu kumuliza Kama nimemkosea, hajibu. Hii hali mpaka inapelekea niwaze kuchepuka! Sijui nimekosea wapi!au ameanza kuchepuka ko hana hisia na mimi!?!?
Nashukuru kwa mawazo. Kwanza wife pua haifanyikazi. Hata ungejamba no shida.miaka yote tumelala kwa kutizamana. Hii imekuja ghafla ndo maana inanipa shida1. Haunuki mdomo/pumzi???
2. Wengine ili walale kwa starehe sana mikao yao sio lazima mtazamane
3 we we msafi?au unanuka kama beberu....au hauogi unanata kama umepaka gundi????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana namuliza Kama kuna mahali nimemkosea aseme nijue. Ili nimwombe msamaha. Maana mambo Mengine unafanya bila kujua unakosea
Inywa changu kipo safi mkuuHivi hiyo ya kunuka pumzi ina dawa? Niliwa kuwa na mwanamke ananuka pumzi ilikuwa shida.. Mbaya zaidi akawa anapenda sana denda,
Mtoa mada inabidi ajitathmin!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ndoa hataki.Tatizo kutazamana au hakupi haki yako ya msingi? Maana hili hujaliweka wazi ili tukupe ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo namuliza Kama nimemkwaza aseme, hasemi. Bora mtu aseme. Utajua weakness yako iko wapi.Mkuu huyo ni mkeo. Mpaka kufikia kufanya kuna mawili tu either kuna kitu umemkwaza na hataki kukwambia or yeye tayari ana mchepuko..
Unamaanisha nini kusema hiviNashukuru kwa mawazo. Kwanza wife pua haifanyikazi. Hata ungejamba no shida.miaka yote tumelala kwa kutizamana. Hii imekuja ghafla ndo maana inanipa shida
Yaani haisensi harufu mkuu. Anadai akiwa mdogo alitokwa na damu nyingi sana puani. Tokea hapo pua hainusi.