Sijui nimeathirika na Nyeto au La !

Sijui nimeathirika na Nyeto au La !

Hzo bao sita labda znachukua dk 3 ukienda kavu na kondom unachukua dk 6 mpk 10 kumwaga, kuacha kazi hapo cha msingi usiwaze sana ngono kichwan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is easy bro, just decide not to do it. For example think this way, if you have to do it, is gonna cost your life, you gonna die, you will not do it, would you?

Man up a little bit, find yourself decent girlfriend and have plenty of sex with her, lots of fun and games, and stick to your resolution. Life is simple, but we make it difficult because of our weakness.
Tatizo ni kwamba unaidanganya akili kwamba utakufa wakat unajua umefanya sanaaa na haujafa

Anyway, thumb up
 
Tatizo ni kwamba unaidanganya akili kwamba utakufa wakat unajua umefanya sanaaa na haujafa

Anyway, thumb up

Mkuu, we always need to play mind games with our minds. We always need to assert some sort of control to our minds. If we don't do it,our mind will control us and make us crazy. What is the difference between crazy person and normal person?

Normal person do have some sort of control of his mind while crazy person does not have any control whatsoever of his mind.

What is the difference between high achievers and the greatest people in the world. LiKe Jesus, Buddha, Amenhotep, Bill Gates, Warren Buffett, Jeff Bezos or even our own JF founder Maxence Melo.?

Answer they control their minds better than most. They do try to control their mind to achieve their objectives. Everybody can do that if he really want to do it.

Ask you Father, Grandfather or Great Grandfather do you think they were consumed all the time with Punyeto. This is in part result of internet (ponorgraphy) People marrying late in life and other social changes in the past 30 years or so.
 
Maisha ya sasa fanya kitu roho na moyo yapenda , maisha yenyew hii fupi CHAPUTA
 
piga kamanda.... na shemeji unampiga goli 6!!!! una haki ya kupiga......piga piga kamanda.....kwenye fainali utuite mkuu...
 
Mleta mada inaelekea mwenzetu ni tajiri kinoma.....nasema tajiri kwa sababu haulipii gesti na wala haudumii demu yeyote, wewe hata wake zetu unachapa tu bure kutokana na hisia zako. Hongera kwa utajiri wa ubanaji matumizi.
 
Wakuu kama bichwa la Uzi linavyojieleza hapo juu
Sielewi kama nimerogwa,nimekua addicted au sijui nifanyaje niache nyeto( Punyeto,Puli)
Nlianza kupiga puli yapata miaka 15 iliyopita wakati huo nasoma shule moja ya boys mkoani Ruvuma
Siku zilivyozidi kwenda nyeto ndo ikawa mfariji wangu
Nimetembea na mademu kibao lakini nimeshindwa kuacha kabisa
Naweza nkawa na demu ghetto nkampiga hadi goli 6 akiondoka natamani Nipige nyeto angalau goli moja ndo najiskia amani
Nna mwanamke na mtoto mmoja wa miaka 5
Nakaa mbali na mama mtoto nkikutana nae namshughulikia vya kutosha but mwisho lazima kifanyike kitendo cha nyeto ingawa mama mtoto hajui kama anavyonifanyia mi ndo napiga nyeto hapo nkimaliza nalala vizuri
Kuna wakati nakua busy na kukaa hadi siku 5 bila kupiga puli but inafika wakati natamani nyeto
Nlikaa kama wiki 2 sijapiga Jana nimetembelewa na mama mtoto nimempa dozi Leo kasafiri nimepiga nyeto mida hii sielewi kama ninerogwa au nifanyaje niachane na puli
Nimejaribu zile njia mbalimbali wanazoshauri watu za kuachana na punyeto nimeshindwa
Kwenye kujua dawa ya haraka na ya uhakika ya kuacha aniambie sio zile sababu mnazoleta Mara usiangalie porno ,mara Fanya mazoezi,sijui usikae alone zote hizo nimefanya zimegonga mwamba.
Maamuzi huanza na kuamua, wewe hujaamua kuacha ila umewaza kuwacha. Kunatofauti kati ya kuamua na kuwaza, ukiamua utaweza ukiwaza hutaweza.
 
Nyeto ni habari nyingine ikikupenda ina Mahaba ya dhati..mwaka wa 18 still nipo kwenye ubia halafu hakuna nyeto tamu kama lakuvusha wapigaji mmeshaelewa yani ukiacha kama wiki hv halafu hujapata demu. . Wee linakuwa tamu balaaa. . bao la nyeto ni tamu kuliko la kwa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom