Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,708
- 8,746
Wakuu kama bichwa la Uzi linavyojieleza hapo juu
Sielewi kama nimerogwa,nimekua addicted au sijui nifanyaje niache nyeto( Punyeto,Puli)
Nlianza kupiga puli yapata miaka 15 iliyopita wakati huo nasoma shule moja ya boys mkoani Ruvuma
Siku zilivyozidi kwenda nyeto ndo ikawa mfariji wangu
Nimetembea na mademu kibao lakini nimeshindwa kuacha kabisa
Naweza nkawa na demu ghetto nkampiga hadi goli 6 akiondoka natamani Nipige nyeto angalau goli moja ndo najiskia amani
Nna mwanamke na mtoto mmoja wa miaka 5
Nakaa mbali na mama mtoto nkikutana nae namshughulikia vya kutosha but mwisho lazima kifanyike kitendo cha nyeto ingawa mama mtoto hajui kama anavyonifanyia mi ndo napiga nyeto hapo nkimaliza nalala vizuri
Kuna wakati nakua busy na kukaa hadi siku 5 bila kupiga puli but inafika wakati natamani nyeto
Nlikaa kama wiki 2 sijapiga Jana nimetembelewa na mama mtoto nimempa dozi Leo kasafiri nimepiga nyeto mida hii sielewi kama ninerogwa au nifanyaje niachane na puli
Nimejaribu zile njia mbalimbali wanazoshauri watu za kuachana na punyeto nimeshindwa
Kwenye kujua dawa ya haraka na ya uhakika ya kuacha aniambie sio zile sababu mnazoleta Mara usiangalie porno ,mara Fanya mazoezi,sijui usikae alone zote hizo nimefanya zimegonga mwamba.