Sidhani kama mtoto anaweza kuja hivi hivi na kukuambia maneno kama hayo Kijana kama wewe na nahisi na kuamini kua kuna kitu umekifanya ambacho huyo mtoto kakiona kwako na ndo mana kaamua kukufata wewe,kwa nn asifate watu wengine?
Tafakari na chukua hatua ila cha maana kaa nae na muambie ukweli kua u cnt date with her na aache hiyo tabia na ukiwa unaongea nae plzzzz onyesha dat sura ya kua hautaki akufanyie hivo mana usije ukawa unamuambia hayo maneno na sura ya tabasamu.