Kbd
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,260
- 447
Why would she even try? Na isitoshe bado anataka zawadi kwa kujaribu na kushindwa?
Imagine.........
Why would she even try? Na isitoshe bado anataka zawadi kwa kujaribu na kushindwa?
Anatamani kukusaaliti lakini anashindwa, ipo siku atafumba macho na kukusaliti kuwa makini naye sanaHabari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.
Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.
Kuna uwezekano mkubwa anataka kujua unampenda na kumuamini kiasi gani,si rahisi kwa yeye kukuambia kuwa huwa anajaribu sehemu nyingine wakati huo huo yupo na wewe na yupo tayari kukuambia ukweli,ni sawa na kumwambia mwenzi wako kuwa leo nilichepuka na mtu ila tulifikia kabisa kufanya tendo na nilipokukumbuka nikaghaili.Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.
Burdaaani! 'siku unamkamua' Hivi kwenye yale mambo, kati ya mwanamume na mwanamke nani anamkamua mwingine???mzazi shtukam mi simuamini mtoto wa kike kwa 100% kuna mtoto mmoja actually hakuwa dem wangu alikuwa na mtu wake na anampenda sna, sema nilikomaa kibishi mpaka akakaa line, siku namkamua baada ya kumaliza, akachukua simu akampigia jamaa yake na kumpa maneno matamu sana, ooh babii i love so much, i mic alot, pole na kazi mpenzi, na mengine mengi, dah moyoni kama mtoto wa kuime niliumia nikaona kabisa haya ndio mambo ambayo huwa tunafanyiwa na sisi, so mzazi muangalie demu wako kwa macho mawili