Sijui nieleweje hii sms.

mzazi shtukam mi simuamini mtoto wa kike kwa 100% kuna mtoto mmoja actually hakuwa dem wangu alikuwa na mtu wake na anampenda sna, sema nilikomaa kibishi mpaka akakaa line, siku namkamua baada ya kumaliza, akachukua simu akampigia jamaa yake na kumpa maneno matamu sana, ooh babii i love so much, i mic alot, pole na kazi mpenzi, na mengine mengi, dah moyoni kama mtoto wa kuime niliumia nikaona kabisa haya ndio mambo ambayo huwa tunafanyiwa na sisi, so mzazi muangalie demu wako kwa macho mawili
 
Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.
Anatamani kukusaaliti lakini anashindwa, ipo siku atafumba macho na kukusaliti kuwa makini naye sana
 
Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.

Huyo ni msaliti anakusanifu. Chagua bega! lol
 
keshaliwa huyoooooo, anajikosha tu. fanya maamuzi magumu kakaangu. najua utaumia lakin utasahau tu.
 
jaribu kuongea nae, maana mpaka hapo kama ni kweli hiyo stori atakuwa ameijua kuwa unashare na sisi huku JF sasa ndo atakusaliti mpaka ukome, kwa ufupi anataka aone mawazo yako, kama utajitahidi kumrejesha kwenye mstari atatulia lakini ukifuta pumba za hapa JF ndo utapotea na akimegwa hatorudi, FUATA USHAURI WANGU TAFADHALI.
 
Nyie wooooooooooooote kumbe hamjaelewa...

Ukweli ni kwamba hiyo sms aliituma KIMAKOSA kwa huyu jamaa. Lengo lilikuwa amtumie jamaa yake wa pembeni. Sasa jamaa alivyojibu, (ndo maana jamaa anasema alikaa kimya) aliwaza ampe jibu gani ili asistukie mchezo.

Kifupi ni kuwa huyo binti si mwaminifu, na tayari kuna jamaa anammega.

Nigongeeeni LIKE kwa huu ugunduzi!
 
Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.
Kuna uwezekano mkubwa anataka kujua unampenda na kumuamini kiasi gani,si rahisi kwa yeye kukuambia kuwa huwa anajaribu sehemu nyingine wakati huo huo yupo na wewe na yupo tayari kukuambia ukweli,ni sawa na kumwambia mwenzi wako kuwa leo nilichepuka na mtu ila tulifikia kabisa kufanya tendo na nilipokukumbuka nikaghaili.
Pia jichunguze labda kuna mapungufu ambayo unayo na anataka uyarekebishe ndio maana kakwambia hivyo,kaa nae chini kwa utulivu na mzungumze kwa kina.
 
Kaka kwa dunia hii ya sasaizi au karne hii ya sasa ni ngumu sana kumega demu peke yako yaani hawa mademu ni wako ukiwa nae tuu, huna sababu ya kumuacha kwani utaacha wangap??cha kufanya piga mzigo tena piga kweli kweli yaan mengine muachie mola
 
mzazi shtukam mi simuamini mtoto wa kike kwa 100% kuna mtoto mmoja actually hakuwa dem wangu alikuwa na mtu wake na anampenda sna, sema nilikomaa kibishi mpaka akakaa line, siku namkamua baada ya kumaliza, akachukua simu akampigia jamaa yake na kumpa maneno matamu sana, ooh babii i love so much, i mic alot, pole na kazi mpenzi, na mengine mengi, dah moyoni kama mtoto wa kuime niliumia nikaona kabisa haya ndio mambo ambayo huwa tunafanyiwa na sisi, so mzazi muangalie demu wako kwa macho mawili
Burdaaani! 'siku unamkamua' Hivi kwenye yale mambo, kati ya mwanamume na mwanamke nani anamkamua mwingine???
 
Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.

MMMh! kaka hizo dalili za kumegewa, ukiona manyoya uculize ujue keshaliwa..ohoo kalagabaho..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom