Sijui ni ushamba au kutojua ?

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Posts
1,653
Reaction score
605
Wapendwa kuna jambo linanikera sana.Ni tabia ya wenye magari kuwasha 'FOG LIGHTS' Sijui wanaona inapendesheza gari kwani nyingi ziko kwa chini.Lakini sijui wanajua kwamba kwanza hapa DAR hakuna Ukungu kwa hiyo uhitaji kuwasha hizo taa, pili gari nyingine zina taa za ukungu hata kwa nyuma sasa hizo zinaumiza macho ile mbaya kwa dereva anayekufuata nyuma.Wenye magari jamani mtumie hizo taa kwenye maeneo yenye ukungu unaokufanya usione mbele na si vinginevyo
 

Mimi huwa nawasha nikiwa kwenye barabara mbovu.....zinasaidia kuona mashimo.....jaribu utaona tofauti!!
 
Wengine huw wanaziwasha kwa lengo la kuwaumiz wa2 macho 2.Mi kun siku nilikuw nimepand gar flan wa waremb flan hv ilikuw mida ya usiku ndip walipokuw wakitembelda full light ila nilipowaambia kuw wanaumiz wa2 macho walichek na kusem ili wakome wasikae njian mida wa2 na gar zao wanapopita.Hivy wengin wanaziwash taa ili kuwakomoa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…