Unataka tukufundishe jinsi ya kumtongoza?
Unataka tukuhalalishie au tukuambie sio halali kumtongoza? huyo co worker wa hiyo kampun mpya....
Umesema huyo demu hayupo classy saana sio sister du japo ni mzuri,...kwanini usitafute sister duu alafu mzuri?...
Umejuaje kama jamaa yake hampatii!? Vitu fulani fulan? Wakt mnakutana kazin tuu..
Mahusiano na co worker sio tatizo, ila tatizo linakuja pale ambapo nyie mtashindwa kutofautisha kazi na mapenz yenu.
Pale ambapo kwa namna moja ama nyingine mapenzi yataathiri utendaji kaz wenu, ila tofaut na hapo jiongeze mkuuu....
Tips ya kwanza mkuu jenga mazoea, act and play smart to her. Jenga goodwil.. Namba si unazo tayar?
Then anza kutafuta outing,
Mtamkie...
Next muombe mechi...
N.b mkuu kumbuka kinga, au kupima kwanza
Kila la kheri mkuu
Soma sentensi yangu ya mwisho kabisa, maneno yaku mwambia hio niachie mm ... nataka moves
Unataka tukufundishe jinsi ya kumtongoza?
Unataka tukuhalalishie au tukuambie sio halali kumtongoza? huyo co worker wa hiyo kampun mpya....
Umesema huyo demu hayupo classy saana sio sister du japo ni mzuri,...kwanini usitafute sister duu alafu mzuri?...
Umejuaje kama jamaa yake hampatii!? Vitu fulani fulan? Wakt mnakutana kazin tuu..
Mahusiano na co worker sio tatizo, ila tatizo linakuja pale ambapo nyie mtashindwa kutofautisha kazi na mapenz yenu.
Pale ambapo kwa namna moja ama nyingine mapenzi yataathiri utendaji kaz wenu, ila tofaut na hapo jiongeze mkuuu....
Tips ya kwanza mkuu jenga mazoea, act and play smart to her. Jenga goodwil.. Namba si unazo tayar?
Then anza kutafuta outing,
Mtamkie...
Next muombe mechi...
N.b mkuu kumbuka kinga, au kupima kwanza
Kila la kheri mkuu
Nime pata kitu...