Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
1,059
1,583
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu.

Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa inawezekana umejua kuwa ndoa ya huyo mwanamke ina tafrani, je migogoro ya ndoa ya mwingine ni ticket ya wewe kumtaka na kutengeneza mgogoro ktk ndoa yako kama unayo?.

Ok utakuta mume wa mtu lakini ana date na mke wa mtu tena kwa mahaba mazito, hivi unachukuliaje kuwa sehemu ya kuvunja moyo wa mkeo pindi atakapo tambua?.

unajisikiaje kuwa mzurumati wa amani na furaha ya ndoa yako mwenyewe?,

Ok sawa, tufanye unakosa Haki zako za msingi kutoka kwa mkeo, hivyo huna budi kutoka nje, sasa kwanini ukatembee na mke wa mtu kwani hakuna walio mali ya umma ?

Nikweli sisi wanaume tuna udhaifu lakini inawezekana kuuzuia ili tusiumize mioyo ya hawa wanawake ambao tayari ni wake zetu, tuwe walinzi wa ndoa za wengine kama vile tulindavyo zetu.

Kuna mwanamke anamume tena anajiheshimu ,lakini anamchepuko ambaye ni mume wa mtu, na ukimwambia wewe ni mke wa mtu anakwambia kwani mke wa mtu ni kitu gani?

Sawa inawezekana ndoa yako ina migogoro hivyo unaitafuta furaha nje, sasa upi ni ulazima wakuitafuta furaha kupitia mume wa mwanamke mwenzako?, au furaha nikuona ndoa yake inakuwa kama yako?

Huoni kwamba unahujumu amani na furaha ya ndoa ya mwanamke mwenzako?, sisi wanaume hatuna uwezo wakusambaza furaha na kupenda mwanamke zaidi ya mmoja ,ni mbwembwe tu, hivyo ukiona anakuoenda ujue amesha hamisha upendo kutoka familia na mke wake, hivyo kaacha maumivu Yale ambayo huyahitaji na kamuachia mwanamke mwenzake.

Unajisikiaje kuwa sababu ya kilio na maumivu kwa mwanamke mwenako??

Kama unaona ndoa yako haikupi thamani basi achana nayo ili utengeneze thamani yako nje ya ndoa, na kama ndoa inakupa thamani basi ilinde hiyo thamani.

TUJISAHIHISHE.
 
Hu

Huyo mke naye ni zezeta
 
Kwani kuwa mme au mke wa mtu inaondoa hisia za kumpenda mtu mwingine?
 
Boss usitulaumu sana, shetani na yeye ana nguvu.
 
Upwiluuuuuuuu mkuuuuuu achaaaa kabisaaaa ndoaaa nyingii zinakufaaa wanaumeee nguvu za kiume hoiìi

Yuleee mwanamke ana nafsii na ukute katoka mikoa yetu ile bukoba ...iringaaa yaan upwiluuuuu asbh mpaka jion sasa unapiga kamoja leo jion hoi asbh ijayo hoi mpaka keshokutwa alafu mfululizo wale wana zidiwa na upwiluuuuu mkuuu

Na ukakutana mtoaa dozi ana nguvu za maana na anatumia yalee madawa hatoki

Tahadhari
Mkewamtu sumu mume wa mtu maziwa
Ukipenda kula sharti uliwe
Sikunjema yakikutokea ya video utujulishe pia
 
sasahivi hata wachaga ukioa anataka cha asbh na jion hatakama unaenda kazin kuminamoja anaweka alarm saa 9 usiku ukimaliza upumzike uende job

Sasa ole wako uingie ndan ukafikiri n gfriend unagonga leo apumzike sikutatu akufwate utaliwa tu na wenzio.....

Somen masomo ya ndoa ndoa sio tu harusi kansan kumpa mwenzio haja ya moyo wake ukilegeza unalizwa no way
 
kugongewa n siri ya ndaniii
ndio maana wanandoa hata wakifumaniana msg sikuhizi bado wako pamoja wataninuana siku kadhaa mashallah wanarudi mns mmoja wapo ashaelewa mapungufu yake kama n mwanaume unajiongeza kwa wamasai...maduka ya tiba asili na kwa mwamposa na kuhan musaa kuomba umeme ukae sawa

Mcongo sio mzuri kwa afya yako

Kama mwanamke like wise unanzia kwa mwamposa ..kuhan musa kuongezewa umeme ukitoka unga kwa toba asili ile miti n mizuri sana...mmh kwa wamasai sijawahi sikia wana dawa za kuongeza upwiluu kwa wanawake else unaweza wacheki

Wanandoaa lazima mjiongeze either mkielezana mapungufu ama kutafuta tiba kimya kimya ukisema ati ntakuvumilia na damu inachemka utaliwa tu

m nakumbuka kuna mdada nilikuwa nagonga ofisin anaondoka hme sa kumi na moja asbh tunakutana sinxa 11 na nusu tunagongana mpaka 0730 am mbili na nusu tuko kazin huko hakuna kujuana

Zaidi ya miaka kadhaa nilipowahi kumuliza alinihakikishia mume hatojua hio ndio shetan namba moja kwa hili we unajipa moyo

2.alianza kusema weakness za mume walianza vizuri lakn hivi sasaa anarudi kalewa anaondkka asbh mwanaume hainyanyuki hata akiagwa anajibu mmh mmh...3
.mwanaume ana hela so mwanamke akawaza huyu anamaliza upwiluuu nje na yeye akaona awe na special handsome sikuwahi kukosea mpaka dadangu aliporudi nyumban baada ya kufumaniwa nikajua mmh huyu kaolewa kufumaniwa kituo kinachofwata mimiii

NNiliachnae mapema tu toka sikuhio nikiona Pete siingii na wewe guest kamwe nkaachana na mambo ya ndoa za watu

madhara yake makubwa sana hatakama hutokamatwa ndugu 😂 😂 sasahiv huko mbelen kitaumana tu..
1.kufir. ..
2.kusambaziwa video za kufi.....
3.ukigongwa kuendelea kusimama n ngumu 🎅 so ujiandae
a4.ukishagongwa ukaachiwa zile sperm ndugu kutafuta wanaume wenzio waendelee kukusugua n asilimia 💯
5.ushoga unakukaribia
6.kama una ndoa ujue ndoa yakoo inakufa n wanawake wachache sana wanandoa wanaweza kukaa na mwanaume alietolewa abikira na wanaume wenzie
7......
8....
9....
10.....unaishia kwenda kusumbua manabiii na makuhani uombewe uache ushoga 🤗 usumbufu
 
Upwiluuuuuuuu mkuuuuuu achaaaa kabisaaaa ndoaaa nyingii zinakufaaa wanaumeee nguvu za kiume hoiìi

Yuleee mwanamke ana nafsii na ukute katoka mikoa yetu ile bukoba ...iringaaa yaan upwiluuuuu asbh mpaka jion sasa unapiga kamoja leo jion hoi asbh ijayo hoi mpaka keshokutwa alafu mfululizo wale wana zidiwa na upwiluuuuu mkuuu

Na ukakutana mtoaa dozi ana nguvu za maana na anatumia yalee madawa hatoki

Tahadhari
Mkewamtu sumu mume wa mtu maziwa
Ukipenda kula sharti uliwe
Sikunjema yakikutokea ya video utujulishe pia
Jf watu wapo mstari wa mbele kujifanya watakatifu

Kila mtu jf hapendi kuchepuka unajiuliza wanaochepuka wanatoka wapi?
Yoyote anaweza kuchepuka, hoja Ninini sababu yakuchepuka huko na kwa nini iwe ni kwa mke wa mtu au mume wa mtu?
 
Hata mke wa mtu anaweza kuwa mali ya umma, ni swala la muda tu ndugu mwandishi.
Kwani kuwa mme au mke wa mtu inaondoa hisia za kumpenda mtu mwingine

Hakuna boss, Ni mtu mwenyewe ubongo ukijireset anapona. Ni kama tabia ya kununua vitu hovyo usivyoviitaji, makorokoro au kucheza kamari, unaliwa unatafuta unapeleka tena inaliwa.
Huoni kama kuna ulazima wakuwafanyia counselling?
 
Back
Top Bottom