stone boy
Senior Member
- Dec 25, 2015
- 107
- 19
.........Mheshimiwa
Magufuli....kuna hii Tamthilia inaitwa ISIDINGO
THE NEED inaoneshwa ITV itakuwa nayo ni jipu
Haiwezekani tamthilia ina miaka zaidi ya 20
haiishi toka tunasoma hadi tuko makazini sasa,
mtu hadi unasahau ilianzia wapi, inafanya watu
wengi tamthilia zao zisipate airtime.
tutumbulie hili jipu la Isidingo daaah
Halafu
waigizaji wenyewe hawazeeki sijui Freemason