Kujiendekeza tu....ukiamua kuacha unaweza sana!
Shit....
Kweli sichangii kitu hapa, Yaan kijana miaka 20 ushaanza kutembea hadi na wake zetu.... hafu eti unaomba ushaur? Labda useme kwanza ni mke wa nani huyo ulietembea nae....Na kijana nisikie ueleze kila kitu hapa ilikuaje had mkaanza kuvuana nguo na huyo mke wa mtu.....pambaaaaaf halafu eti tunalipa ada mashulen we usome na tunaacha pesa ya matumizi ili wake zetu wasiingie kwenye vishawishi.....Kijana hujaanza tu kujibu?
Njoo kanisani kwetu tunaombea watu wenye tabia kama yako