Nimezaliwa,nikafikisha umri wa kwenda shule,nikaenda.Nimesoma mpaka hukoooo nimemaliza,nimekuja sijui nimejiajiri au nimeajiriwa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nimeoa na nimepata watoto nao nimewasomesha kisha nao wamejitegemea,nimezeeka,kisha huyooo nauona mwili unashindwa baadhi ya mambo.Kisha narudishwa mavumbini,nimekufa.Safari ya maisha imeishia hapo,nimeondoka duniani. . . . . . . . . . . . . . . , . . . . . . . Hivi hayo ndo yalisababisha nizaliwe au kuna kingine?Yani hivyo tu?Sidhani,sijui ni kwanini lakini nahisi kuna kitu kimepungua.Yaani nayaona hayo kama mambo madogo sana kusababisha mtu kuzaliwa.My be nimejipotosha,wewe je unaridhika?
tumeletwa duniani tule raha au tuteseke hata sielewi! halafu ikizembea unaweza ukaunguzwa huku jehanam
Anamaanisha tupo duniani kwa sababu zipi?sababu alizotaja zinaonyesha haziridhishi ye kuja dunianiWhat are u trying to say?
tatizo tumeletwa halafu tutakufa,dahwadogo zangu wapenzi Eiyer na Excellent sis gf loves you so much.
Anyway sisi tumezaliwa kwa kusudi moja tu. nalo ni kuuthibitisha ukuu na uungu wa Mungu. Mungu aliposema na tufanye mtu kwa mfano wetu basi alikusudia awe mfano wake na ndio maana akamwambia akatawale vyote abavyo Mungu alivifanya. Kwangu mimi hili nndilo ksudi la Mungu kwetu ishu ni kwamba sisi ndio tunao haribu ule wema na uzuri wa Mungu kwetu katka maisha yetu ya kila siku.
nafkir mtakubaliana na mimi pasipo dhambi basi mauti isingekuwepo ila imeandikwa mshahara wa dhambi ni mauti so na mauti huanzia mbali kwenye upotevu wa mali na furaha hadi kwenye upotevu wa mwili. ngoja nitarudi baadae nawahudumia m uncles kwanza.
Anamaanisha tupo duniani kwa sababu zipi?sababu alizotaja zinaonyesha haziridhishi ye kuja duniani
tatizo tumeletwa halafu tutakufa,dah
tungeishi tu forever bhana,kula kulala bila kutoa jashoZipi ndio zingeridhisha?
umeshasoma ninachowaza lol! ila no way labda ile second chance ya uzima wa milele tutapatahaukua mpango wa Mungu tufe ila dhambi ndio iliyotusababishia. ila hapo najua utaniuliza tena sasa kama Mungu alijua hivyo kwanini alimruhusu shetani amdanganye eve? au pia utasema mbona Mungu hana huruma? manake kosa moja tu adhabu yake hadi leo?
- :flypig:
yaani ukiwaza is like no enough reasonsInachanganya,isn't it????
What are u trying to say?
umeshasoma ninachowaza lol! ila no way labda ile second chance ya uzima wa milele tutapata