Sijui kweli? nisaidieini

Sijui kweli? nisaidieini

nasi

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
47
Reaction score
20
Si vizuri kumwambia mwanamke umenenepa.Kwani wanawake wengi hawapendi unene,Mwambie umebarikiwa ahh atafurahi sana
 
Umeongezeka mwili nasi
 
Last edited by a moderator:
mwambie umebarikiwa abaki na unene huo mwisho wa siku magonjwa ya moyo, liver... Mwambie ukweli ili afanye kitu kuhusu mwili wake.. wanawake bongo wanaongoza kua na vitambi, wanaofanya mazoezi ni wa kuhesabu.. Nchi ya watu wenye afya ovyo nani anaitaka?
 
lets start some gym classes...
 
mwambie umebarikiwa abaki na unene huo mwisho wa siku magonjwa ya moyo, liver... Mwambie ukweli ili afanye kitu kuhusu mwili wake.. wanawake bongo wanaongoza kua na vitambi, wanaofanya mazoezi ni wa kuhesabu.. Nchi ya watu wenye afya ovyo nani anaitaka?

vitambi vya castke light hatari sana
 
Na wale wanaouliza wenyewe: hivi baby nimenenepa eeh? Ukimjibu tofauti si anakununia bila sababu
 
Sio kweli,Sema kweli hata kama haipendezi masikioni.
 
Mi ukiniambia kweli ntashukuru zaid ila vitambi vngne kdr umr unaposogea kwa mwanamke vinakuja ukizingatia aina za vyakula vyetu. Jamani mi nilikuwa mwembamba kama mgonjwa wa ugonjwa flan hivi but ukiniambia sasa nini kimeninenepesha xjui na hizo castle light sinywi!
 
kimbau mbau umenenepa umekua kitukunyema
 
Back
Top Bottom