Hakuna kosa kwa mwanaume kuchepuka,ila ni kosa kubwa kwa mwanamke kuchepuka..! Sababu zipo nyingi,lkn kubwa nguvu ya mwanaume hawezi kuimudu mwanamke mmoja. Ndo maana hata kwenye maandiko,watu wa Mungu wengi tu walichepuka. Ushahidi mwingine ni watumishi wa Mungu wa nchini 90% wanachepuka na waumini wao lkn makanisa yanazidi kuchanua!