Asikwambie mtu nyama ya karibu na mfupa ni tamu mnooooKama wenye hadhi ya kwenda miss TZ ndo uliwaona ni pisi kali hapo hamna kitu, mamiss wote hua namba moja, mifupa mitupu
Nakubaliana kabisa na kauli ya Moisemusajiografii hapo juu kua mtoa mada Yuko vyombo[emoji2]Ngoja tumuulize mtaalamu wa hizi kazi DeepPond
Fikiria mwendokasi ichepuke kuja kwenye njia ya magari mengine, halafu isitosheke ichepuke hadi kule pembeni kabisa kwenye service road...
kama nafaa kuwa miss tanzania basi hata chura atakuwa hana....hivyo hafai kuitwa pisi kaliKama wenye hadhi ya kwenda miss TZ ndo uliwaona ni pisi kali hapo hamna kitu, mamiss wote hua namba moja, mifupa mitupu