Sijui kwanini? Mke wangu sikuhizi hafurahii tendo la ndoa

She z human jamani..
Anaweza akawa na sababu nyingi tu..
Mvumilie..ila jitahidi kuwa karibu sana na yeye..
Chunguza kama ana stress..
Mpe nafasi akusimulie hzo stress..
Mcomfort.. bila kugusia sex..
Atarudi tu kwenye mstari..

Cyo sahihi kutafuta mchepuko..na huyo mchepuko akikunyima then wht? Utajikuta u nadevelop tabia ya kuchepuka hovyo..
 
Unamkong'ota kistaarabu sana labda so hakuna anachomiss.......yaani humuachii kumbukumbu yoyote katika kichwa chake baada ya kumkong'ota ya kumfanya ukimgusa tu akugeukia na kukupa.:bump2:
 
kama ndo umeamua hivyo sawa..... ila mke inabd umwandae mapema..... sio ambush za usiku wa manane.... hizo signal zako labda hazisomi tena kwake... badili mfumo..... sio kila siku kitanda hicho hicho tu....
 
Back
Top Bottom