wanaume wegi hawako romantic, wanajitahd kabla a ndoa, akishaoa zigo si ndio hili, ni kupanda juu tu ka aparamia mkokoteni, mwingine keshatafuna mibange yake ndio lllloh, mwanaume akiwa romantik kamwe hautamchoka hata awe malaya kiasi gani, "umalaya kwa wanaume ni sifa si munajuwa?kuna wakati inachosha mtu anajitwangia tuuu hayuko romantic unamvumilia atabadilika lakini waapi mwishowe unakuwa huna hamu nawe umeigiza umechoka sasa ufanyeje
Hebu nitumie nammba yake mkuu nikusaidie kumdodosa nitakupa mrejesho mkuu wala usiwe na hofu..Wanajamii,
Nahisi mke wangu hanisomi vema! Namshangaa sana kwamba zamani zile tukiingia on bed yaani nilikuwa nikimgusa tu anageuka anaachia mchezo kwa raha zetu maisha yanasonga mbele.
Ajabu ni kwamba siku hizi hata umtupie signal za aina gani ye ndo kwanza anakoroma usingizini.
Akishtuka anajiliza na kujifanya kumind kwamba nimemkatiza usingizi.
Hii hali kusema kweli inanikera na nilishamwambia mara kadhaa lakini nahisi somo limegoma kuingia.
Mfano mzuri ni leo hii nimemtupia signal kibao mpaka nimejaribu kwenda extra mile lakini kama kawaida kajifanya kushtuka usingizini na kulialia! Nimeona isiwe tabu nimemwacha aendelee kukoroma.
Now, mawazo hasi yashaingia kichwani mwangu na mbaya zaidi nafikiria kutafuta mwanamke ambaye nitakuwa napiga naye mzigo wa nguvu kwenda mbele halafu yeye namuweka kushoto aendelee kukoroma.
Maana yake mzee mzima nishatumia mbinu nyingi hata kabla ya kulala afahamu kwamba nataka nimgegede lakini anajifanya anisomi! Natupia na vizawadi lakini anisomi.
Naona isiwe tabu sasa ngoja nimtafutie msaidizi wa ukweli akileta kiburi zaidi namweka nje ya boma langu immediately!
Ngono ni ushiriki wa mapenz yasiyorasimishwa hivyo hupaswi kuita mapenzi ya ndoa ngono bali unaweza kuita kujamiiyana acha kuzalilisha ndoa kijana.Ndoa sio kufanya ngono tu.