Nakumbuka tuliachana alipogundua kuwa yale malengo nlomuahidi kabla mzee magu hajaingia madarakan hayatatimia
Maana of course wahitim weng tumejaa mtaan huku wengi wakiwa wamekata tamaa ya maisha!!
Sikuwa na kazi....nilivurugwa...!!na still girl ananiuliza "Lini utakuw na kwako P?"....kichwa ndo kkazidi kuniuma...!!
Then akaanza kubadilika...text hazijibiwi kwa wakati....yupo busy na kazi za nyumban...akisema ameenda kukinga maji hapo atakaa masaa 7!!...Nkasoma mchezo kuwa sitakiwi tena na kuna mtu anamkeep busy....!!bila shari nkabreak up(japo still alidai ananipenda)
Iliniuma mno kuachana nae but ilinibidi...!!hapo nd safari ya kutafuta maisha nikiwa single ilipoanza...!!nilitumia funzo na kiburi alichowah kunionyesha kama motisha kupambana na maisha
Iliniuma pia resources na mda nlopoteza kwake coz n ngum kusahau mtu alokuachia mengi ya kukumbukwa....kila nkiona mvua nakumbuka nlvoloa mwil mzima stendi kumkinga yeye asiloe
Iloniuma kutumiwa hvyo nkaahidi kutafuta pesa kwa udi na uvumba....nijenge maisha lkn pia nliahd kutoamin hawa viumbe kamwe
Nimetafuta pesa kwa nguvu zote bila kupumzika....sina weekend wala out...!!Namshukuru Mungu now nna biashara yangu...na pia nmepanga chumba na vitu ndan vnajaa na still bdo vitajaa
TATIZO LINAANZIA HAPA
Ameanza kutuma text...!!na hua cjawah kujibu...hua anatuma text...nisipomjibu atakaa wiki au ht mwezi au miezi lkn atatuma tena message
Niliamua kufuta kabsa connection nae...!!coz najua lazima atajifunza kitu akikutana na mbwamwitu wa kuonja onja...!!
Just nilihtaji kushare experience!!..na ushauri pia
Kama ex wako anataka kurudi jua huko alikoenda wamemfunza kitu...na co km amerudi kwakuwa anakupenda....n kwakuwa ANAKUWEZA...!!na pia labda n kwakuw amesikia hatua ulopiga so ndo merudi akuangushe tena
Na ukiona umeachana na mtu na mambo yakakunyookea.....jua umeanza hatua ya kwanza kuelekea mafanikio....
Morning