msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
Waungwana,
Nimejitahidi sana kutafuta sababu ya kunirudisha TZ ili nipige kura imeshindikana.
Ingekua graduation ya mwanangu baada ya Oct hapo ingekua sawa lakini bahati mbaya itakua mwezi wa 9 na mimi kama baba siwezi kosa tukio hili muhimu kuliko hata la uchaguzi ( sorry).
Sijui mpaka lini wananchi tulio nje tutapata fursa ya kuchagua viongozi tuwapendao. Mtakao chagua please zingatieni maadili yote (fumbo)