Akilitime
JF-Expert Member
- Dec 27, 2017
- 581
- 763
Wasalaam!
Hapa nawaza sijui itakuwaje, kuna mwanamke tulifamihana last year kupitia humu Jf. (Jina sitaki)
Huyu mwana mama ananikubali kinyama kutokana na swaggaz zangu zilizojaa uongo uongo.
Mara aniite mme wake, kiufupi ni kama mtu na mpenzi wake ila tatizo linaanzia hapa hatujawahi kukutana hata siku moja zaidi ya mawasiliano ya mitandaoni tu.
Sasa nimempanga naye kapangika kwa ajili ya kukutana, ili tukafanye yanayofanywa sirini.
Hayo tisa, sasa bhana kutokana na story ambazo nampigishaga huyu kiumbe, basi akilini mwake anahisi nina maisha high class. Kwanza anaamini nipo ofisi kubwa sana hapa mjini, pili anaamini nina gari moja matata(mwenzake hata kirikuu sina😂)
Tatu anahisi mimi ni handsome zaidi ya mahandsome wote waliowahi kutokea ( wakati picha mda mwingine zinadanganya).
Binafsi sipendagi kujiweka low hata kama nipo low.
Sasa hapa naona uwongo umekaribia ukomo.
Kama kuna mtu yeyote alishawahi kukutwa na hii issue afu akaisolve
kirahisiii tongezeane ujuzi wakuu.
Au kama we ni je na yashawahi kukukuta vipi twambie uliamua nn pale unapokutana na kile ulichokuwa hutegemei