Sijui huu ujinga nitauacha lini?

Hahahaaaa, pole mkuu kuna mmoja alkula elfu 30 yangu, mwez uliopita kaja dar kanitafuta tuonane ila kazingua kunipa gemu akaniambia atakuja kwa ajili yangu(na ilikua baada ya kufika ofsini kwangu akajua kumbe ela zipo) ila alionekana alitaka tuonane tuu, wiki iliyopita kaja kweli nkampeleka lodge alikaa siku 2, nkamwachia 20 nkamwambia ntarudi asubuh kaniambia wanataka ela yao (sikulalanae nilienda home) nkamwambia wape hiyo 20 nakuja kuanzia hapo nkam'block hadi leo.
Sitaki ujinga mimi.
 
Samahani lkn.. haujui huo ujinga utaacha lini.. mtenda wa jambo hujivika hilo jambo!.. umetenda ujinga hivyo we ni mjinga! utaacha pale tu utakapoacha ujinga.
Asante
 
Ni mambo ya kawaida sana kusaidiana katika maisha wala sio ujinga kama unavyodhani!! Kama una moyo wa kutoa ni vizuri sana maana umejiwekea hazina huijui kesho yako ila mkuu we ni bonge la JINGA unawasaidia mademu tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] daah hadi vidume mkuu
 
imebidi nicheke tu
 
Pesa zote ulizotoa kwa madem wote mimi nimetoa kwa mmoja tena kwa mkupuo.
Yani unathubutu kusema umempa dem 10,000 mbele ya wanaume wenzio?

Kumbe huku watoto wengi??!
kwani siyo hela unataka atoe sh ngap ndo atangaze
 
Pesa zote ulizotoa kwa madem wote mimi nimetoa kwa mmoja tena kwa mkupuo.
Yani unathubutu kusema umempa dem 10,000 mbele ya wanaume wenzio?

Kumbe huku watoto wengi??!
Mkuu elezea uhusiano uliopo Kati ya ukubwa na kuwa na pesa
 
Wek no yko mkuu ili nimpe dada angu akupigie kwa kukosea anaweza lbda akatoka na hta 50 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo na ww ukaona huo ni ujanja?? empty set kabisa
 
Mpaka huu utawala ukamalize miaka10 utaacha tu
 
Nenda mirembe maana we we sio mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…