Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,631
Kaingia akaanza zake kufundisha kama kawaida ila Mimi siku zote huwa nakuwa simsikilizi kivile kwani naona hata hamu yenyewe ya Kusoma sasa haipo tena na naingia tu Darasani ili nisionekane Mtoro na sina Nidhamu Kwake na mwishowe akaja Kunifelisha bure!
Ila wakati akifundisha katikati akaanza kuisema hii Kauli na akitikisa Kichwa chake ambayo kiukweli hadi sasa inanichanganya..
" Siku zote ukiona unaanza tu Kutengwa na Marafiki au Majirani zako jua ya kwamba Mosi wameshakuona ni Mpumbavu, Pili wameshakudharau na Tatu huenda wakawa wameshagundua labda utakuwa na matatizo ya Akili hivyo suluhu yao Kwako ni Kukutenga tu hadi ukijishtukia " alisema Mhadhiri wangu maarufu Chuoni aitwae Bwana. Afrikamashariki Utengamano.
Na kilichonishtua zaidi ni kwamba muda wote alipokuwa akisema hivi Macho yake yaliyo Makali sana aliyaelekezea Kwangu tu.