Sijui hata chakufanya

Pate_15

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
156
Reaction score
48
Habari za leo ndugu zangu,Poleni na majukumu!

Leo niko kuwaelezea kitu kwa lengo la kuhitaji msaada wenu!

Nimegraduate Records Management katika chuo cha utumishi wa umma mwaka 2011,
Nikaanza kufanya kazi ya kujitolea katika masijala ya wazi katika halmashauri ya wilaya Masasi,Mtwara pia katika Masasi District Court kwa mda wa miez kama 8 bila malipo,Hali ya maisha ilipo zidi kuwa ngumu nikaacha kujitolea ndipo nikaomba kufanya kazi katika work shop flani ya kutengeneza sofa hapa dar,na nikaanza kuitangaza hiyo offisi kupitia hapa jf na mafanikio yalianza kuonekana ila hadi kufikia wakati huu najihisi kutoridhika kuendelea kufanya kazi kwasababu nalipwa tofaut na makubaliano...
Ombi langu kwenu,

1: Naomba mwenye kuweza kuniunganisha na kazi ;
a) Kupamba kumbi za sherehe.
b) sofa repair and maintanacy.
c) Records Management Assistant.

2: Nipate office ya kufanya tempo.


Tatizo uwezeshwaji (mtaji)
 

Chenga...........
 
Ebwana shukran sana kwa taarifa....ila ningeomba uleze n jinsi gan pesa inapatikana..hilo ndo la msingi zaid.(How money are generated for member payment?)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…