Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
sababu kuu huwa ni kwamba anakuridhisha mno kimapenzi...hata ukienda kwa mwanamume mwingine hakuna anayekufikisha kama huyo jamaa.....imeshawahi kunitokea hiyo kwamba namfanyia vituko vya kufa mtu demu hakuniacha ,hata aliponiacha baadaye akarudi mwenyewe....nilipomuuliza akaniambia dah yaani nikifikiria unavyonikuna ,wala sijapata kama wewe!!!hii kitu achana nayo kabisa!!!
Shikamooni wanajamvi,wadogo marahaba.Natumaini wote mchana mmeuona kama hujauona bado karibu lunch kwa mama mremboo.
Nisiwapotezee muda niende streit tu ze point. Huyu kijana nimefanya maamuzi ya kumuacha zaidi ya mara tatu kutokana na tabia zake na zangu kutoendana,unakuta yeye Ana mtizamo tofauti kabisa wa maisha na style zake.kila nikimueleza anaona kama namuingilia. So mie nkaona isiwe nongwa bado ndo kwanza mchana naweza nunua kwingine! Nimemtamkia kabisaaaaa kwamba tusipotezeane muda kila mtu awahi kivyake but yeye huwa hajibu chochote zaidi ya kusema Yuko in love na mimi!naamua nakuwa kimya ILA akipiga tu simu na kuongea mawili matatu basi mie hoiii najikuta hisia zinanijia narudiana nae, sometimes anasema eti mie sina nguvu ya kumuacha....!ukweli sina future nae ILA nashindwa namna ya kuzuia hisia.
Sasa wadau wangu naomba mnishauri nifanyeje nimuache mamoja??for six months nimejaribu nimeshindwa kitu ambacho sio kawaida yangu, kwenye ishu ya kuacha mtu mie ilikuwa ni kama unavyokunywa maji ILA kwa huyu mhhhhh.

Kwa hiyo maji yamegeuka jiwe?
Maelezo yako yananionyesha ugumu wa kumwacha huyu jamaa ila nakupa pole sana kwani jamaa anacheza na hisia zako akijua wazi huwezi kumwacha pamoja na kwamba naamini kuna siku hutarudi nyuma...Tumia muda wako mwingi katika kazi zako, punguza mawasiano kila siku zinzvyosogea, tafuta rafiki wa kiume sio lazima mpenzi ambaye ni mstaarabu na uwe unawasiliana nae katika mambo yako ya kawaida yaliyokuwa yanamwitaji huyu jamaa, note; anaweza kuwa hata ndugu wa karibu, pia badili mfumo wako wa maisha kwa kutazama zaidi maisha yako na kugundua jinsi jamaa anavyokufungia milango kwa wanaume wenye mapenzi ya dhati kwako.......Mwisho ni mara chache sana mwanamme anabadili tabia yake ya awali kama hujaridhia bora ujitoe mapemaShikamooni wanajamvi,wadogo marahaba.Natumaini wote mchana mmeuona kama hujauona bado karibu lunch kwa mama mremboo.
Nisiwapotezee muda niende streit tu ze point. Huyu kijana nimefanya maamuzi ya kumuacha zaidi ya mara tatu kutokana na tabia zake na zangu kutoendana,unakuta yeye Ana mtizamo tofauti kabisa wa maisha na style zake.kila nikimueleza anaona kama namuingilia. So mie nkaona isiwe nongwa bado ndo kwanza mchana naweza nunua kwingine! Nimemtamkia kabisaaaaa kwamba tusipotezeane muda kila mtu awahi kivyake but yeye huwa hajibu chochote zaidi ya kusema Yuko in love na mimi!naamua nakuwa kimya ILA akipiga tu simu na kuongea mawili matatu basi mie hoiii najikuta hisia zinanijia narudiana nae, sometimes anasema eti mie sina nguvu ya kumuacha....!ukweli sina future nae ILA nashindwa namna ya kuzuia hisia.
Sasa wadau wangu naomba mnishauri nifanyeje nimuache mamoja??for six months nimejaribu nimeshindwa kitu ambacho sio kawaida yangu, kwenye ishu ya kuacha mtu mie ilikuwa ni kama unavyokunywa maji ILA kwa huyu mhhhhh.
You're in love....
Maelezo yako yananionyesha ugumu wa kumwacha huyu jamaa ila nakupa pole sana kwani jamaa anacheza na hisia zako akijua wazi huwezi kumwacha pamoja na kwamba naamini kuna siku hutarudi nyuma...Tumia muda wako mwingi katika kazi zako, punguza mawasiano kila siku zinzvyosogea, tafuta rafiki wa kiume sio lazima mpenzi ambaye ni mstaarabu na uwe unawasiliana nae katika mambo yako ya kawaida yaliyokuwa yanamwitaji huyu jamaa, note; anaweza kuwa hata ndugu wa karibu, pia badili mfumo wako wa maisha kwa kutazama zaidi maisha yako na kugundua jinsi jamaa anavyokufungia milango kwa wanaume wenye mapenzi ya dhati kwako.......Mwisho ni mara chache sana mwanamme anabadili tabia yake ya awali kama hujaridhia bora ujitoe mapema
Me sikushauri uachane naye. Muhimu zungumza naye muelekezane namna maisha mnataka myaendeshe. Hakuna mjamilifu duniani. Inawezekana utakayekutana naye ana tabia mbovu zaid.
uko sahihi,nisaidie ni namna gani naweza pingana na hii power of love?4 sure nataka kumove on buy how?