Sijielewi

Angalia whats common between wakaka wote uliotoka nao then utajua wanaume wa aina hiyo sio wako,jifunze kwa makosa yako,..take your time kabla hujaanza ku-date jamaa mwingine..
 
its simple like this-LET IT GO-GIV HIM A GIFT OF GOOD BYE!usikae usipostaili amka tembea tafuta mahali sawa na usonge mbele.
 
i promic u njoo kwangu we mwenyewe utafurahi huwaga sina tabiaa ya kuacha,yaan apa kwangu ni kucare na malovedavi kwenda mbele...ni PM mamii
 
"Inawezekana hao uliokutana nao haikupangwa wewe kuwa nao thats why mli-break up,kabla ya kuanzisha mahusiano chukua muda wako umuombe kwanza muumba wako akufungulie macho ya ndani umuone yule uliyepangiwa.jichunguze wewe kama wewe una mapungufu/kasoro gani,au una tabia gani ambayo unahisi hao wanaume uliokutana nao hawaipendi thats why wanakukimbia soon baada ya ku do?pengine tatizo linaweza kuwa more internally than externally...jichunguze vizuri dada yangu utapata jawabu,au labda wewe ni mzuri sana hivyo wanaume wengi wanatamani ku do na wewe thereafter wanakimbia nini?i think it is a million dollar question""


dah we ndo umemaliza kila kitu, tatizo laweza kuwa more internally than externally. Maana most of wadada wanablem kuachwa na wanaingia katika uhusiano mwingine bila kutafuta chanzo kilichovunja uhusiano wa kwanza. plse jichunguze kwanza before hujaanzisha uhusiano mwingine wa kimapenzi.
 
Kwanza pole sana!
Kama wadau wengi walivyochangia kwamba ukimkataa mwanaume mkatae mazima...kama miaka mine imepita tangu umakatae mtu, ni dhahiri kashakuta na wengi hapo katikati na pengine ashaamua aweke wapi moyo wake. Ila mkikutana lazima aendelee kuomba ‘mzigo’ ili kulinda heshima usije kumuweka kwenye orodha ya watu uliowahi kuwamwaga. So it’s all about ‘EGO’. Wanaume wengi huwa hawakubali kushindwa, akianza kukutongoza ukimsumbua anaongeza bidii mpka afanikiwe. Kinachoonekana umekuwa uki- date na alumni na your previous rejects who seem to come back ‘just to get into your pants.’ You might find yourself dating people who are about to quit bachelors camp. So, Kunjua side mirrors zako angalia nyuma ulipokosea and move on, get someone new and someone you can know his current status... Falling down is not bad, the worst thing is fall and remain down.
 
Vilio vimekuwa vingi mno kwa madada zetu wanaume wamekuwa wakatili sana nakupa pole ila kama hutajali nakukaribisha kwangu kwa mikono miwili ufurahie maisha hakika utasahau yote yaliyo kutokea
 
Mhhhhhhhhhh! Pole Sana Aiseeeeeeeee!!!!!! Ushauri wangu LEARN THE RULES OF THE GAME AND PLAY BY THE RULES!!!!!!!!!
mshauri nafahamu we una experience na umekomaa kwenye angle hiyo , huyu mi namuona bado beginer na atachezewa kama mpira wa kona.....we are just having fun no commitment......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…