Sijawahi onana na mwanaJF yoyote physically

Sijawahi onana na mwanaJF yoyote physically

Rafik ulionao wako humu ila wanatumia id ambazo hauzijui watu wa kwaida sana
 
nimekua member wa humu jamvini almost zaid ya mwaka bt cjawahi mfaham memba yoyote kwa kumuona I wish nionane hata name mmoja turn isijekua hua nachart na maroboti, cc illovo, smart911, Evelyn salt, Hathrony, na wengineo

Pitia avatar na jina LA mmoja baada ya mwingine, ukiona unaoweza kuwafahamu omba uonane nao.
 
Watu hapa jf ni boonge la waungwana iwapo utafanikiwa kujiona nao aiseeee....
Sema kwa hizi mambo za fake I'd, ndio hutupa ujasiri wa kujifyatua akili
 
Watu hapa jf ni boonge la waungwana iwapo utafanikiwa kujiona nao aiseeee....
Sema kwa hizi mambo za fake I'd, ndio hutupa ujasiri wa kujifyatua akili

unajua watu humu hua wanajifyatua mno akili kk! wangekua wanachart name kupost kawaida apo sawa
 
unajua watu humu hua wanajifyatua mno akili kk! wangekua wanachart name kupost kawaida apo sawa

Hayo ndio matunda ya kua huru kwa majina bandia, hii hupelekea hata watu kufunguka yale ya deep down from the are heats aiseeee....
 
Bora usionane nao wanajifanyaga mambo safi wasomi, kila mtu anagari watakupiga chenga mpaka basi wanaishi kwenye nyumba za nyasi😀😀

Mkuu, mbona mimi mkulima na ninajiskia raha sana kusemea mimi mkulima, na hata time usipo niona jf kwa green icon ujue nipogo Shamba au nimeharibikiwa baiskeli aiseeee...😉
 
Back
Top Bottom