Sijawahi kuona brick-and-mortar store yoyote hapa Dar, lakini watu wana Gucci

Vipi hukuwahi/huvai zile za Bulls,Lakers...t-shirt ya kawaida yenye nembo ya hizo timu kifuani?

Nope, never.

Sijawahi kuwa mpenzi wa throwback jerseys hata siku moja achilia mbali tisheti zenye nembo za timu.

I have a very different style....hata nikivaa Moncler basi ntachagua isiyo na nembo kubwa au maandishi makubwa.
 
Hata mimi nilishangaa! Ulaya ni duka la vitu vya ajabu ajabu suitable for pensioners!

Ndo maana kuna sehemu nimeuliza kama hilo duka linauza luxury brands....

Sidhani!

Kwa US ni sawa na Marshall's tu:D
 
Hapa TZ wanauza 'high end' clothes. Kuna Levi.s za ukweli hapo ni kama agent wao. Na nguo nyingi ni brand yao from SA. Kibongobongo ndio matawi.
 
Kilicho feki ni watu kuiga bidhaa za wengine na kuziuza kwa kutumia jina lao.

Wewe siyo Gucci kwa nini utengeneze kofia ya Gucci halafu uiuze kibandani?

Kwa nini usitumie jina jingine utumie jina lao?

Hapo ndipo ufeki ulipo.
ni akili tu ya kutafuta market, wateja wananunua brand na sio bidhaa wala quality yake, so wauzaji wanatega humohumo, mi nawapongeza wanaoweka label fake maana bidhaa zao mi cheap na watu wengi wana afford mtu akitupia anakuwa sawa kabisa na aliyenunulia GSM mall ma-gap yanapungua
 
GSM wanauza genuine Gucci and the like?
 
Kilicho feki ni watu kuiga bidhaa za wengine na kuziuza kwa kutumia jina lao.

Wewe siyo Gucci kwa nini utengeneze kofia ya Gucci halafu uiuze kibandani?

Kwa nini usitumie jina jingine utumie jina lao?

Hapo ndipo ufeki ulipo.
Quality ya Material does matter mkuu!kuna jeans za elfu ishirini/ thelathin ikivaliwa ndani ya wiki mbili hamna kitu!
Au kuna hizi nike air za shs 50 000 /60 000 balaa!
 
Na mara nyingi hizo bidhaa feki ndo huwa ziko hivyo.

Ubora sifuri kabisa.

Kama ni nguo, ukiifua hata mara moja tu haitamaniki tena.

Na ndo maana huwa zinauzwa kwa bei rahisi.

Hayo ma Nike feki huwa yanafumka vibaya kweli yaani
 
Kuna vitu unakuwa navyo watu ukiwaambia bei uliyonunua wanakwambia umeluwa huku ziko tele tuna vaa kwa bei poa tu!una baki inamwangalia tu moyoni unajisemea "nakupa mwezi mmoja tu tuonane tena na hilo fake lako"!
Qatu wana vaa ray ban aviator za 5000/10 000 wanataka watuaminishe na original!
 
Back
Top Bottom