Sijawahi kuona bibi harusi kibonge

Hahaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kuna wale chubby chubby..huwa wanapendeza sana.
 
Ni wanapendeza hatareeee
 

Attachments

  • 1474251761739.jpg
    39.3 KB · Views: 143

Hahaahaahaaahaaah!!mbavu zangu jamani,khaaaah!!!
 
Mi niliwai shuhudia moja aisee! Bibi harusi alikua ka puto na shera lake! Yaani ziwa lilibanwa nikafikiri akipiga chafya tu litachomokea juu.
Nadhani mtu akiwa kwenye mishe za kuolewa diet na mazoezi mengi yanaanza pamoja na stress juu! Ko lazima apungue tu.
 
Okay tufanye sawa haujaona... So what? Kwani vitu vingine vyote wewe umeviona? Umeshaona self contained ndani ni choo cha shimo.... Mbado
Hiyo niliwa iona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ilibidi waikimbie nyumba aisee! Yote ilianza kunuka!
 
Ukweli ni kuwa wanawake hunenepea kwa wanaume zao huolewa kimbao mbao baada ya miezi 8 tuu huumuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…