kalamu na karatasi
Member
- Jul 26, 2015
- 49
- 30
Mara ya mwisho nakumbuka nimemtoa Wifi yenu Out.Tuligawana Majukumu.
Kama mimi talipa nauli basi yeye anunue chakula.
Nashukuru alikuwa muelewa akafanya hivyo.
Hapo mwingine si angegharamikia vyote.
Via Sihongi Mimi
Kama mimi talipa nauli basi yeye anunue chakula.
Nashukuru alikuwa muelewa akafanya hivyo.
Hapo mwingine si angegharamikia vyote.
Via Sihongi Mimi