Tuliza akili yako na jaribu kukubali kile ulichonacho kwa muda ule naimani utafika tu kwenye hicho kilele. Lakini ukianza kutoa mtu kasoro mapema, hata akufanye kutwa kucha hutoweza kufikishwa. Na pia hisia ni muhuimu sana na kuelezeana nini unataka au kupenda kufanyiwa na mwenzio, kama wewe mwenyewe hujui nini unapenda au kutaka mwenzio hawezi ota na kukufanyia.
Hisia huanza na wewe kwanza. Jaribu kuwa na hisia itakuwa rahisi kwa mwenzio kukusaidia na kukufikisha. Na pia mueleze nini unapenda kufanyiwa, wapi, na muda gani. Inawezekana ni mtu wa kuzubaa tu na kuwa na imani ya kufanyiwa yote upendayo bila kutoa ushirikiano wowote. Mapenzi ni hisia.
Nisaidieni wana jf, Mimi ni mwanamke namiaka 35 ,nimeshakuwa na mausiano mengi tu, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya
Jenu jiandae kisaikolojia kupokea majibu ya busara, hekima, na dhihaka. Mtu asiyekuwa na tatizo km hilo lako ataona ni jambo la kawaida tu. Kufika kileleni kuna rha yake kwa mwanaume na mwanamke.
Jana nilieka post hapa jamii forum kuhusu hilo tatizo lakini nashangaa ikatolewa....Okay na mie nasubiri kutolewa. My post ilikua hivi:
Kwa uzoefu wangu kama daktari kuna wanawake wamepata kuniambia hawajawahi kufika kileleni wakiwa na wapenzi wao mbali wakiwa pekee yao na kwa kubana mapaja yao tight tu (cross their thighs and legs)
Nikaomba maoni.
Nisaidieni wana jf, Mimi ni mwanamke namiaka 35 ,nimeshakuwa na mausiano mengi tu, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya
Hata mm nina tatizo hilo! nasikia tu kama kuna kufika kileleni tangu nianze haya mambo cjawahi kufika! sasa sijui tatizo ni nini, ukipata msaada nijuze nami