Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana fastjet dar to mza,kitu upepo ulipiga
Tuliza akili utaelewaSo what!
Sina mpango wa kwenda njeya nchiSasa vietnam au Thailand utaenda kwa meli?
Upo km mm yaniWengi wanausifia sana usafiri wa ndege ,ila utabaki kuwa usafiri wenye risk kubwa ,na likidondoka kutoka uko juu chance ya kupona ni 0.00000001.
Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana fastjet dar to mza,kitu upepo ulipiga ,yaani nikaona lindege linashuka,ukisisikia kitu kinapiga chp na kurudi ndio hapo.Aisee uyu mgunduzi wa ndege atafutwe atumbuliwe
Kwa kweli usafiri wa bus una rahaa yakeUpo km mm yani
Kwangu ninavyoona risk inazidi rahaaNi risk lakini ina raha yake pia.
Nimeshajaribu naona upo poa,hakuna stressNimeona mantiki ya bandiko lako, kutoamini usafiri wa ndege.
Nashauri embu jaribu usafiri wa wanyama.
Ule usafiri ni raha jinsi mazingira yake yalivyo ndani pia kuna maeneo ukiamua kwenda itakulazimu kupanda ndege.mfano USA 🇺🇸 Ila ubaya wake ikianguka kupona ni majariwa ya mwenyezi mungu.Kwangu ninavyoona risk inazidi rahaa
Tena ni usafiri mzuri usio na stesssNyie ndio wale mnaotumia fisi as a rapid transport mkidhani kwamba kila mmoja wetu ana access ya kutumia fisi.