Mm naona kama huna wazo la kumsaidia mtu bora tu unyamaze coz majibu mnayoyatoa naona kama mnapoteza mda wanu. Hebu mwenye hekima na uelewa anisaidie katika hili
Hujaeleza jinsia yako kwanza ni kitu cha muhimu pia historia uielezee vizuri ndipo watu waumize vichwa sio kueleza nusunusu halafu unategemea ushauri mzuri