Hivi huu wimbo huwa unashika hata top 20 katika chatiza muziki wa bongo???
Hata sielewi aliimba huo wimbo kuburudisha jamii au kujiburudisha yeye mwenyewe maana sijauelewa mwanzo mpaka mwisho .
Nimekuwa nikisikiliza kwa muda wimbo wa Say my name wa Shishi baby lakini sikuwa nikielewa kile kipande anachoimba Barnaba anaimba vitu gani,Leo nimefanikiwa kupata lyrics na bado nimeendelea kushangazwa!!!! Hivi Barnaba alimaanisha nini alipoimba 'Ni shimo la wengi,ye ndo shimo la wengi kuweka taka,kuweka takataka' Kama kuna mtu anakielewa kipande hiki anijuze kinamaanisha nini!
Huu wimbo ungeitw shimoHivi hata jina la wimbo la "say my name" huwa linatamkwa kwenye wimbo?
Nimekuwa nikisikiliza kwa muda wimbo wa Say my name wa Shishi baby lakini sikuwa nikielewa kile kipande anachoimba Barnaba anaimba vitu gani,Leo nimefanikiwa kupata lyrics na bado nimeendelea kushangazwa!!!! Hivi Barnaba alimaanisha nini alipoimba 'Ni shimo la wengi,ye ndo shimo la wengi kuweka taka,kuweka takataka' Kama kuna mtu anakielewa kipande hiki anijuze kinamaanisha nini!
Kunguru nuhu mziwanda'Ameruka kunguru', Me napendeaga hapo 2!