Sijapewa nafasi ya kwenda masomoni, naweza kusoma nikiendelea na kazi?

Apr 18, 2017
34
22
Habari wana JF
Mimi nimeajiriwa na serikali hivyo naona umefika wakati nahitaji nijiendeleze na masomo ya chuo, sasa sijapewa nafasi ya kwenda masomoni na muda naona unazidi kuyoyoma. Naomba nifahamu, naweza kusoma huku nikiendelea na kazi au haiwezekani?
 
Back
Top Bottom