Sijapenda kabisa ALJAZEERA walichomfanyia JK katika mazishi ya Mandela

mkuu anaglia chanel ten wameungana na SABC LIVE BILA CHENGA.
ACHANA NA HAO WAZUNGU
 

Hata citizen tv, na kbc nao walifanya mchezo kutokuonyesha hotuba ya Jk live
 
Ndiyo maana nikiona mtu anahangaika na Man. City sijui Arsenal huwa ninamuona hana akili kabisa.

asante mkuu, imenua kwani yan rais anaongea wanaamisha kwenda SOWETO kuhoji watu wanaangalia kwenye TV sijajua kwani alivyomaliza tu wamerudi na tangu waliongea hawakuama kwanini JK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…