Sijapenda kabisa ALJAZEERA walichomfanyia JK katika mazishi ya Mandela

mkuu anaglia chanel ten wameungana na SABC LIVE BILA CHENGA.
ACHANA NA HAO WAZUNGU
 
rais wangu wakati anatoa speech ikiwainaendelea wakamkata na kuamia soweto na kuoji watu tu, imenikela sanaa kwani rais wangu afanyiwe hivyo wakat wote walioto speech ilikuwa hawakati na CNN nao waliama, imeniuma sanaaa sasa kamaliza wamerudi ndani tena qunu

Hata citizen tv, na kbc nao walifanya mchezo kutokuonyesha hotuba ya Jk live
 
Ndiyo maana nikiona mtu anahangaika na Man. City sijui Arsenal huwa ninamuona hana akili kabisa.

asante mkuu, imenua kwani yan rais anaongea wanaamisha kwenda SOWETO kuhoji watu wanaangalia kwenye TV sijajua kwani alivyomaliza tu wamerudi na tangu waliongea hawakuama kwanini JK
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom