Sijaona tapeli kama Gwajima

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,995
Reaction score
13,512

Baada ya domo lake kumponza, sasa Gwajima anatapatapa na kutafutwa kuonewa huruma. Anabwabwaja akidhani watu wote ni mazwazwa kama yeye. Anasema hili leo na kesho lile. Anajipiga mitama mwenyewe. Sasa acha akione cha moto na asionewe huruma wala kuaminiwa. Alidhani angewatapeli CCM asijue ni magwiji katika jinai hii.
 
Umeandika kama mpumbavu wa wapumbavu.....he is coming back for you in few days
 
Huu mwaka Somalia ndo mahala penu salama ni mwendo wa Spana kila kukicha.....
 
Jinga ww
 

Umeandika kwa makasiriko sana bila shaka anachosema Gwajima kimekuingia vilivyo. Mbona bado, subirini kufikia 15/8 !
 
Safari hii kazi mnayo. Huku Polepole, huku Gwajima, kule nako kuna Mpina! Si mlifikiri mkimfunga Lissu na kuizuia Chadema kufanya shughuli zake za kisiasa mtapata mteremko?
Tulieni! Hatutaki kelele.
 
Sindano ni dongo lakini ukipenyezewa inauma lakini vile vile inatibu. hata kama una gono, kwishaaa!! Gwajima endelea na next episode. Yaani dozi ya pili! Kuna watu humu wanasikilizia dozi ya kwanza. Alhamdulillah watapona tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…