johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,847
- 143,329
ALITAKA MAGUFULI AILETEKama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora
Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu
Mlale Unono!
Mpaka Leo hata Mimi namshangaa.Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora
Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu
Mlale Unono!
😂😂😂ALITAKA MAGUFULI AILETE
Alianza vizuri na Tume ya Warioba lakini mbele ya safari akawakuta akina Wassira!Mpaka Leo hata Mimi namshangaa.
Matokeo yake Magufuli akaleta michongo hiiALITAKA MAGUFULI AILETE
Hii tuliyonayo inasaini kweli? Inaonyesha hujawahi hata kuisoma.Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora
Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu
Mlale Unono!
SijuiHii tuliyonayo inasaini kweli? Inaonyesha hujawahi hata kuisoma.
Kwa faida yako nitakuambia leo kwa nini Rasimu ya Katiba ya Warioba ilitupwa. Kulikuwa na kifungu cha Marais kuwajibika kwa makosa yao watakayokuwa wamefanya wakiwa madarakani. Sasa Jakaya aliruhusu na alipokea fedha za Escrow kutoka kwa Harbinder Singh/ Rugemalira.Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora
Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu
Mlale Unono!
Kikwete ni msanii na mpaka uzee huu bado anaendeleza usanii!Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora
Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu
Mlale Unono!
We mwenyewe ulikuwa huitaki sasa unaanza kujikoshaKama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora
Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu
Mlale Unono!
Mbili ni upuuzi, kila nchi iwe na serikali yake ili kuwe na hakiSerikali 3 ni kimeo. Angeenda na mbili au moja tungekuwa na katiba mpya.
Alianza vizuri saana...tume ilikuwa ya kisomi, ya wazalendo, na wanademokrasia ndio maana ilizunguka nchi nzima kuwasikiliza nini wananchi wanataka....Akaja haribu mwishoni kwa kusimamia maslahi ya tumbo yanayoitwa msimamo wa chama katika mambo kadhaaAlianza vizuri na Tume ya Warioba lakini mbele ya safari akawakuta akina Wassira!
Unachanganya katiba pendekezwa ni ile ya wachumia tumbo wachache wa CCM ya muundo wa muungano kama uliopo sasa hivi, rasimu ndio ilikuwa ya muundo wa serikali tatu.Wazee wa CCM walimtisha akaogopa kuhusu suala la muungano, sasa sijui kama bibi yetu atatoboa. Katiba pendekezwa inatamka wazi kuwe na Serikali tatu, moja ya Tanganyika, Nyingine ya Zanzibar then tuwe na Serikali ndogo ya Muungano wa Tanzania ambayo Rais wake ndiye atakuwa amili jeshi Mkuu.