Sijafulia ila naweka shinikizo.....

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Asalaaam Aleykhum waungwana!

Nimekuwa nafatilia budget ya mwaka huu nimegundua kila mwaka kodi ya vileo huwa inapanda ikiwa ni kama namna serikali yetu inaweza ongeza kipatp chake ili iweze kutumikia wananchi wake. Kuna vyanzio vingi vya kodi lakini haona hawa wenzetu serikalini bado wamelala kila siku wanaongeza misamaha ya kodi. Kwa kuwa hili ni taifa la walevi na wavuta sigara basi kuanzia leo naaacha kunywa vileo vya pombe kali pamoja na sigara ikiwa ni kama shinikizo kwa serikali itafute njia mbadala.

No sigara no kulewa

Mch Masa
 
Naona pepo lishakuingia. Yaani unaikimbia dawa ya matatizo? Kuna mtu kakuloga mchungaji.

Ngoha Asprin, klorokwini, Fidel80 na Kaizer waje
Afu ndo mada iendelee
Serikali inafikiri inatukomoa kumbe inawakomoa watoto na wategemezi wetu. Biya tutaendelea kunywa kitakachofanyika ni kubana matumizi ya nyumbani na kupunguza misaada kwa wanaohitaji. Mwisho wa siku biya inanyweka kama kawa.

Serikali itajiju!
 
Asalaaam Aleykhum waungwana!

Nimekuwa nafatilia budget ya mwaka huu nimegundua kila mwaka kodi ya vileo huwa inapanda ikiwa ni kama namna serikali yetu inaweza ongeza kipatp chake ili iweze kutumikia wananchi wake. Kuna vyanzio vingi vya kodi lakini haona hawa wenzetu serikalini bado wamelala kila siku wanaongeza misamaha ya kodi. Kwa kuwa hili ni taifa la walevi na wavuta sigara basi kuanzia leo naaacha kunywa vileo vya pombe kali pamoja na sigara ikiwa ni kama shinikizo kwa serikali itafute njia mbadala.

No sigara no kulewa

Mch Masa

Nimeamua kunywa bia za mwaka mzima....ikifika julai mosi...naweka silaha chini.
 
Naona pepo lishakuingia. Yaani unaikimbia dawa ya matatizo? Kuna mtu kakuloga mchungaji.

Serikali inafikiri inatukomoa kumbe inawakomoa watoto na wategemezi wetu. Biya tutaendelea kunywa kitakachofanyika ni kubana matumizi ya nyumbani na kupunguza misaada kwa wanaohitaji. Mwisho wa siku biya inanyweka kama kawa.

Serikali itajiju!

Utatesha familia unaonaje ukijaribu zile za kiasili?
 
Unywaji uko pale pale na idadi inaweza kuongezeka maana wataziboresha zaidi,na hapo itaongeza hari ya kusaka mshiko,je nauli ikipanda hupandi daladala?
 
Siku hizi Taxi nimeacha niko na Bajaj ama boda boda nafikiria baiskeli iwapo bei itazidi kuchumpa.
 
Naona pepo lishakuingia. Yaani unaikimbia dawa ya matatizo? Kuna mtu kakuloga mchungaji.

Serikali inafikiri inatukomoa kumbe inawakomoa watoto na wategemezi wetu. Biya tutaendelea kunywa kitakachofanyika ni kubana matumizi ya nyumbani na kupunguza misaada kwa wanaohitaji. Mwisho wa siku biya inanyweka kama kawa.

Serikali itajiju!

Mkubwa, umetishaaaaaaa. Yaani Ima faima, bia inyweke.
 
Siku hizi Taxi nimeacha niko na Bajaj ama boda boda nafikiria baiskeli iwapo bei itazidi kuchumpa.

aaahh kumbe ndiyo maana siku hizi wewe ni wa mwisho kufungua gate na wa kwanza kulifungua!!!

Parangana kijana urudi kwenye level ya zamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom